MAAZIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI MOROGORO
Posted on 2018-05-08 14:14:36
Wanafunzi wa Chuo Cha Uhandishi wa Habari Morogoro, waliungana na Wanahabari kutoka vituo mbalimbali vya radio na Tv katika maandamano ya Amani kuadhimisha siku ya Uhuru wa vyombo ya habari. Kimkoa yalikua yakisindikizwa na kauli Mbiu inayosema " UHURU WA HABARI NI CHACHU YA UWAJIBIKAJI KWA MAENDE...
Read MoreUHURU WA HABARI NI CHACHU YA UWAJIBIKAJI
Posted on 2018-05-08 14:12:11
Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa Bwana Cliford Tandari wa Tatu kutoka kulia na Mwenyekiti wa Morogoro Press Club Bwana Nickson Mkilanye wa tatu kutoka kushoto katika Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya habari, Kimkoa yaliyofanyika leo tareh 8/5/2018. Kauli mbiu "UHURU WA HABARI NI CHACHU YA UWAJIB...
Read MoreUNAFAHAMU NINI KUHUSU 4G,3G,2G,EDGE NA GPRS
Posted on 2018-04-13 05:17:56
Juzi kulikua na mchezo wa kirafiki kati ya chuo changu ‘MSJ’ na moja ya taasisi ilio jirani,baadhi ya rafiki zangu wakawa wakijinadi na kujigamba kuwapiga 4G wale mabwana,inafurahisha na imekua ni neno la kawaida sana hasa kuonesha dhihaka kwa timu pinzani lakini je watu wanajua nini k...
Read MoreHATIMA YA UCHAGUZI MSJ KUELEWEKA WIKI HII
Posted on 2018-04-04 11:53:36
Na.Alfeo Mbunji Tume huru ya uchaguzi ya chuo cha uandishi wa habari Morogoro Msj, imetangaza rasmi tarehe ya uchaguzi ambapo awali ulihairishwa baada ya wagombea kukosa sifa stahiki. Akizungumza na Msj Online mwenyekiti wa tume hiyo Bw.Frank Damas, amesema kuwa ratiba iliyotok...
Read MoreMICHEZO HUCHOCHEA HAMASA YA VIJANA KUPENDA SHULE
Posted on 2018-03-07 01:09:21
Kuna msemo unasemwa sana ukitaka kumficha mwafrika weka ujumbe kwenye kitabu wakimaanisha watu weusi hatuna tabia ya kupenda elimu,tunapenda vitu rahisi, tunapenda shotcut labda kulingana na mazingira tumeyokua na kuyakuta lakini michezo inaweza kua chachu kwa namna moja au nyingine ya vijan...
Read MoreMatembezi katika kituo cha watoto yatima THE SOCIETY OF MEHAYO
Posted on 2018-02-27 14:36:43
Mapema ya Oktoba 28, 2017 baadhi ya Wanafunzi na mlezi wa Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (msdis) Francis Mkude walitembelea kituo cha Watu wenye Ulemavu wa akili THE SOCIETY OF MEHAYO kinachopatikana Mazimbu, Manispaa ya Morogoro. . Ujumbe huo kutoka msdis ulikwenda kituoni hapo k...
Read MoreMahafali ya 21 Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji (MSIDS)
Posted on 2018-02-24 14:40:09
Chuo cha Morogoro School Of Innovation And Develepment Studies wamefanya Mahafali ya 21 Yaliyofanyika Leo Tarehe 24.02.2018 Siku ya Jumamosi Katika Ukumbi wa : Glonency Uliopo Mkoa wa Morogoro, Tanzania Muda wa saa 3:00 Asubuhi mpaka saa 8:00 Mchana Mkuu wa Chuo Cha uandishi wa habari na Utangaza...
Read MoreKARIBU CHUO CHA UANDISHI WA HABARI(MSJ)
Posted on 2018-02-09 03:53:43
Chuo cha uandishi wa habari (msj)kinakukaribisha katika muhula mpya wa masomo unaoendelea chuoni hapo maeneo ya viwanja vya mwalimu julias nyerere ...
Read MoreMSIDS: Karibu morogoro mkoa husio na bahari
Posted on 2017-11-14 02:36:00
. . . . . . . By demo kwa fasi...
Read More