Posted on 2018-05-08 14:14:36

Wanafunzi wa Chuo Cha Uhandishi wa Habari Morogoro, waliungana na Wanahabari kutoka vituo mbalimbali vya radio na Tv katika maandamano ya Amani kuadhimisha siku ya Uhuru wa vyombo ya habari. Kimkoa yalikua yakisindikizwa na kauli Mbiu inayosema " UHURU WA HABARI NI CHACHU YA UWAJIBIKAJI KWA MAENDELEO YA MKOA" changia maoni yako kuhusu kauli mbiu hiyo je?? Maendeleo ya mkoa huchangiwa na wanahabari huru?????..