Posted on 2018-02-24 14:40:09
Chuo cha Morogoro School Of Innovation And Develepment Studies wamefanya Mahafali ya 21 Yaliyofanyika Leo Tarehe 24.02.2018 Siku ya Jumamosi Katika Ukumbi wa : Glonency Uliopo Mkoa wa Morogoro, Tanzania Muda wa saa 3:00 Asubuhi mpaka saa 8:00 Mchana
Mkuu wa Chuo Cha uandishi wa habari na Utangazaji MSIDS- Ndugu. John Kidasi
MEZA KUU: (wapili kutoka Kushoto) Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi za mafunzo (UTI) ,
Akifuatia Mkuu wa Chuo Cha uandishi wa habari na Utangazaji MSIDS- Ndugu. John Kidasi.
Nyuma: Wafanyakazi wa Taasisi ya Chuo Cha uandishi wa habari na Utangazaji
MSIDS- Pamoja wageni waalikwa
Wanafunzi ambao ndio Wahitimu wa kwenye mahafali ya 21
Chuo Cha uandishi wa habari na Utangazaji MSIDS-