Welcome to Morogoro School of Innovation and Development Studies

Morogoro School of Innovation and Development Studies (MSIDS) previously known as Morogoro School of Journalism (MSJ), was established in 1995 under the umbrella of the Training of Resources and Technology Management (TRETEM). It was the first privately owned Institution in imparting journalism skills and knowledge in Tanzania with its Motto: Journalism for Democracy.

With the establishment of Union of Training Institutions (UTI) in 2016, the college has been renamed to Morogoro School of Innovation and Development Studies (MSIDS) in 2017 with intention of nurturing innovations in diffent areas, such as Agribusiness, Technology, Small and Medium Industrial machinary etc.

News, Events and Announcement

MAAZIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI MOROGORO


Posted on 2018-05-08 14:14:36

Wanafunzi wa Chuo Cha Uhandishi wa Habari Morogoro, waliungana na Wanahabari kutoka vituo mbalimbali vya radio na Tv katika maandamano ya Amani kuadhimisha siku ya Uhuru wa vyombo ya habari. Kimkoa yalikua yakisindikizwa na kauli Mbiu inayosema " UHURU WA HABARI NI CHACHU YA UWAJIBIKAJI KWA MAENDE...

Read More

UHURU WA HABARI NI CHACHU YA UWAJIBIKAJI


Posted on 2018-05-08 14:12:11

Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa Bwana Cliford Tandari wa Tatu kutoka kulia na Mwenyekiti wa Morogoro Press Club Bwana Nickson Mkilanye wa tatu kutoka kushoto katika Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya habari, Kimkoa yaliyofanyika leo tareh 8/5/2018. Kauli mbiu "UHURU WA HABARI NI CHACHU YA UWAJIB...

Read More

UNAFAHAMU NINI KUHUSU 4G,3G,2G,EDGE NA GPRS


Posted on 2018-04-13 05:17:56

Juzi kulikua na mchezo wa kirafiki kati ya chuo changu ‘MSJ’ na moja ya taasisi ilio jirani,baadhi ya rafiki zangu wakawa wakijinadi na kujigamba kuwapiga 4G wale mabwana,inafurahisha na imekua ni neno la kawaida sana hasa kuonesha dhihaka kwa timu pinzani lakini je watu wanajua nini k...

Read More

TAZAMA MATOKEO YA JC 55 NA DJ 21


Posted on 2018-04-12 02:37:14

MATOKEO JC 55 NA DJ 21...

Read More

HATIMA YA UCHAGUZI MSJ KUELEWEKA WIKI HII


Posted on 2018-04-04 11:53:36

Na.Alfeo Mbunji Tume huru ya uchaguzi ya chuo cha uandishi wa habari Morogoro Msj, imetangaza rasmi tarehe ya uchaguzi ambapo awali  ulihairishwa baada ya wagombea kukosa sifa stahiki. Akizungumza na Msj Online  mwenyekiti  wa tume hiyo Bw.Frank Damas, amesema kuwa ratiba iliyotok...

Read More

MICHEZO HUCHOCHEA HAMASA YA VIJANA KUPENDA SHULE


Posted on 2018-03-07 01:09:21

Kuna msemo unasemwa sana ukitaka kumficha mwafrika weka ujumbe kwenye kitabu wakimaanisha watu weusi hatuna tabia ya kupenda elimu,tunapenda vitu rahisi,  tunapenda shotcut labda kulingana na mazingira tumeyokua na kuyakuta lakini michezo inaweza kua chachu kwa namna moja au nyingine ya vijan...

Read More

Matembezi katika kituo cha watoto yatima THE SOCIETY OF MEHAYO


Posted on 2018-02-27 14:36:43

Mapema ya Oktoba 28, 2017 baadhi ya Wanafunzi na mlezi wa Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (msdis) Francis Mkude walitembelea kituo cha Watu wenye Ulemavu wa akili THE SOCIETY OF MEHAYO kinachopatikana Mazimbu, Manispaa ya Morogoro. . Ujumbe huo kutoka msdis ulikwenda kituoni hapo k...

Read More

Mahafali ya 21 Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji (MSIDS)


Posted on 2018-02-24 14:40:09

Chuo cha Morogoro School Of Innovation And Develepment Studies wamefanya Mahafali ya 21 Yaliyofanyika Leo Tarehe 24.02.2018 Siku ya Jumamosi Katika Ukumbi wa : Glonency Uliopo Mkoa wa Morogoro, Tanzania Muda wa saa 3:00 Asubuhi mpaka saa 8:00 Mchana Mkuu wa Chuo Cha uandishi wa habari na Utangaza...

Read More

Our Partners