Posted on 2018-05-08 14:12:11

Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa Bwana Cliford Tandari wa Tatu kutoka kulia na Mwenyekiti wa Morogoro Press Club Bwana Nickson Mkilanye wa tatu kutoka kushoto katika Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya habari, Kimkoa yaliyofanyika leo tareh 8/5/2018. Kauli mbiu "UHURU WA HABARI NI CHACHU YA UWAJIBIKAJI KWA MAENDELEO YA MKOA"